Search

163 results for Mwesigwa Selestine :

  1. NIONAVYO: Soka la kununua bila kuuza halina tija

    SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) lina sheria na taratibu za kuhakikisha kuna nidhamu ya mapato na matumizi miongoni mwa nchi wanachama wake ikiwa ni pamoja na klabu. Lengo la utaratibu huu siyo...

  2. NIONAVYO: Kombe la Dunia la klabu ni vita mpya ya pesa

    TANZANIA, Afrika Kusini na labda Afrika nzima mitandao imejaa mjadala wa uamuzi wa kutia shaka wa refa wa mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliozikutanisha Young Africans au Yanga...

  3. Kombe la Dunia la klabu ni vita mpya ya pesa

    Tanzania, Afrika Kusini na labda Afrika nzima mitandao imejaa mjadala wa uamuzi wa kutia shaka wa refa wa mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliozikutanisha Young Africans au Yanga...

    New Content Item (1)
  4. NIONAVYO: Nusu fainali Simba, Yanga inawezekana

    TANZANIA imefanikiwa kuingiza timu mbili hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Si jambo lililozoeleka sana, hasa kwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara. Kwa hesabu rahisi, robo ya...

  5. NIONAVYO: Klabu zingine zijifunze kwa Tabora United

    TABORA United iliyopo Ligi Kuu Bara kwa sasa inadaiwa kupitia hali ngumu ndani na nje ya uwanja. Timu hiyo inayocheza ligi hiyo kwa mara ya kwanza baada ya kupata daraja kutoka Ligi ya...

  6. NIONAVYO: Mitatu ya Samia, michezo imenoga

    “MOJA ya nyakati ambazo nitazikumbuka kwa muda mrefu katika utumishi wangu kwenye michezo ni Aprili 4, 2017. Nina sababu nyingi za kuikumbuka siku hiyo ambayo ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika...

  7. Al Ahly, Mamelodi karibuni, hii ndo Dar es Salaam!

    SASA mambo yote ni hadharani. Baada ya kutangazwa ratiba ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika (CAFCL), sasa ni dhahiri bingwa mtetezi wa kombe hilo Al Ahly ya Misri na bingwa wa...

  8. NIONAVYO: Afcon 2027 inagonga hodi, mlango uko wazi?

    NI wiki chache zimepita tangu kutamatika kwa Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon 2023) yaliyofanyika Ivory Coast. Mnyonge mnyongeni, sikwenda Ivory Coast lakini nilifuatilia kwa karibu...

    New Content Item (1)
  9. NIONAVYO: Bundesliga ni darasa tosha

    BAYERN Munich ya Ujerumani ambao ni mabingwa wa Ligi kuu ya taifa hilo imemfungashia virago kocha wake raia wa Ujerumani, Thomas Tuchell, tayari kwa kuachana naye au kusitisha uhusiano naye, kama...

  10. JIWE LA SIKU: Ule ubabe wa Yanga, Simba ndio huu sasa!

    JUZI nilibahatika kutembelea makao makuu ya klabu ya Yanga baada ya kupita miaka kadhaa. Nilichokiona katika mitaa ya Twiga na Jangwani kilibadilisha mtazamo wangu kuhusu hatua iliyopigwa na...

Page 1 of 17

Next